Waebrania 12:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kwa hiyo inyosheni mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea. Tazama sura |