Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 10:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kisha akasema: “Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya matakwa yako.” Hivyo Mungu alibatilisha tambiko za zamani na mahali pake akaweka tambiko nyingine moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kisha akasema: “Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya matakwa yako.” Hivyo Mungu alibatilisha tambiko za zamani na mahali pake akaweka tambiko nyingine moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kisha akasema: “Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya matakwa yako.” Hivyo Mungu alibatilisha tambiko za zamani na mahali pake akaweka tambiko nyingine moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kisha akasema, “Mimi hapa, nimekuja kuyafanya mapenzi yako.” Aondoa lile agano la kwanza ili kuimarisha la pili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kisha akasema “Mimi hapa, nimekuja kuyafanya mapenzi yako.” Aondoa lile Agano la kwanza ili kuimarisha la pili.

Tazama sura Nakili

Waebrania 10:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la kitabu nimeandikiwa,)

Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.

Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la kitabu nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo