Waebrania 10:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama sura |
Yeye achinjaye ng'ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua njia zao wenyewe, na nafsi zao zafurahia machukizo yao.