Waebrania 10:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama sura |