Waebrania 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Mwenyezi Mungu, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. Tazama sura |