Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 9:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

52 Abimeleki akauendea huo mnara na kupigana nao; naye akaukaribia mlango wa mnara ili auteketeze.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 Abimeleki aliufikia mnara na kuushambulia, kisha, aliukaribia mlango wa mnara autie moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia. Lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 Abimeleki akaja kwenye ule mnara na kuushambulia, lakini alipokaribia kwenye ingilio la mnara ili kuuchoma kwa moto,

Tazama sura Nakili




Waamuzi 9:52
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kweli umepiga Edomu, na moyo wako umekutukuza; ujisifu basi, ukae nyumbani mwako. Mbona unataka kujitia bure katika madhara, hata uanguke, wewe na Yuda pamoja nawe?


Ndipo Menahemu akapiga Tifsa, na wote waliokuwamo, na mipaka yake, toka Tirza; kwa sababu hawakumfungulia, kwa hiyo akaupiga; nao wanawake wote waliokuwamo wenye mimba akawapasua.


Lakini ndani ya huo mji palikuwa na mnara wenye nguvu, na watu wote wanaume na wanawake wakakimbilia huko, na watu wote wa mji, nao wakajifungia ndani, wakapanda paa la mnara.


Na mwanamke mmoja akabwaga jiwe la kusagia la juu, nalo likampiga Abimeleki kichwani, na kulivunja fuvu la kichwa chake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo