Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 9:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

51 Lakini ndani ya huo mji palikuwa na mnara wenye nguvu, na watu wote wanaume na wanawake wakakimbilia huko, na watu wote wa mji, nao wakajifungia ndani, wakapanda paa la mnara.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Lakini kulikuwa na mnara imara katikati ya mji. Basi, wakazi wote wa mji huo wanaume na wanawake wakakimbilia humo na kujifungia ndani. Wakapanda kwenye paa la mnara huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Lakini kulikuwa na mnara imara katikati ya mji. Basi, wakazi wote wa mji huo wanaume na wanawake wakakimbilia humo na kujifungia ndani. Wakapanda kwenye paa la mnara huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Lakini kulikuwa na mnara imara katikati ya mji. Basi, wakazi wote wa mji huo wanaume na wanawake wakakimbilia humo na kujifungia ndani. Wakapanda kwenye paa la mnara huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Hata hivyo, ndani ya huo mji kulikuwa na mnara imara, ambako watu wote wa mji, wanaume na wanawake, walikimbilia ndani yake. Wakajifungia ndani, na kupanda juu ya paa la mnara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Hata hivyo, ndani ya huo mji kulikuwa na mnara imara, ambako watu wote wa mji wanaume na wanawake, watu wote wa mji, walikimbilia ndani yake. Wakajifungia ndani yake na kupanda juu ya paa la mnara.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 9:51
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi nyumba ile ilikuwa imejaa wanaume kwa wanawake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu wanaume kwa wanawake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.

Ndipo Abimeleki alipokwenda Thebesi, akauzingira na kuutwaa.

Abimeleki akauendea huo mnara na kupigana nao; naye akaukaribia mlango wa mnara ili auteketeze.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo