Waamuzi 9:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Ndipo Abimeleki alipokwenda Thebesi, akauzingira na kuutwaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Kisha Abimeleki akaenda Thebesi, akauzingira na kuuteka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka. Tazama sura |