Waamuzi 9:47 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC47 Abimeleki aliambiwa ya kuwa watu hao wote wa mnara wa Shekemu wamekusanyika pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Abimeleki akaambiwa kuwa watu wote waliokuwa kwenye mnara wa Shekemu wamejikusanya pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Abimeleki aliposikia kuwa wamekusanyika huko, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Abimeleki aliposikia kuwa wamekusanyika huko, Tazama sura |
Basi Abimeleki akakwea kwenda katika kilima cha Salmoni, yeye na wote waliokuwa pamoja naye; naye Abimeleki akashika shoka mkononi mwake, akakata tawi moja katika miti, akalishika na kujitwika begani mwake; akawaambia hao watu waliokuwa pamoja naye, “Haya, kile mlichoona nikifanya, nanyi fanyeni vivyo hivyo haraka”.