Waamuzi 9:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Abimeleki, na vile vikosi vilivyokuwa pamoja naye, wakafululiza, wakasimama penye maingilio ya lango la mji, na vile vikosi viwili vikawarukia hao wote waliokuwa mashambani, na kuwaua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Abimeleki na kundi lake wakaenda mbio kwenda kulinda lango la mji. Makundi yake mawili mengine yaliwashambulia wale waliokuwa mashambani na kuwaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Abimeleki pamoja na vikosi vyake wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi iliyokuwa katika ingilio la lango la mji. Vikosi viwili vikawashambulia wale waliokuwa mashambani, na kuwaua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Abimeleki pamoja na vile vikosi wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi, mahali pa ingilio la lango la mji. Vile vikosi viwili vikawawahi wale waliokuwa mashambani na kuwaua. Tazama sura |