Waamuzi 9:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Akawatwaa watu wake, na kuwagawanya katika vikosi vitatu, nao wakavizia mashambani; naye akaangalia, alipoona watu wakitoka nje ya mji, aliwashambulia na kuwaua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Akachukua watu wake akawagawa katika vikosi vinne, ili waende kuvizia mashambani. Alipowaona watu wanatoka mjini, akatoka alikojificha akawaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Akachukua watu wake akawagawa katika vikosi vinne, ili waende kuvizia mashambani. Alipowaona watu wanatoka mjini, akatoka alikojificha akawaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Akachukua watu wake akawagawa katika vikosi vinne, ili waende kuvizia mashambani. Alipowaona watu wanatoka mjini, akatoka alikojificha akawaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Hivyo akawachukua watu wake, akawagawanya katika vikosi vitatu na kuwaweka waviziaji huko mashambani. Alipowaona watu wanatoka kwenda nje ya mji, akainuka dhidi yao na kuwashambulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Hivyo akawachukua watu wake, akawagawanya katika vikosi vitatu na kuwaweka waviziao huko mashambani. Alipowaona watu wanatoka kwenda nje ya mji, akainuka dhidi yao na kuwashambulia. Tazama sura |