Waamuzi 9:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Ikawa siku ya pili yake, watu wakatoka waende mashambani; naye Abimeleki alipoambiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Siku iliyofuata, Abimeleki alipata habari kwamba watu wa Shekemu wametoka mjini na kwenda mashambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Kesho yake watu wa Shekemu wakatoka wakaenda mashambani, Abimeleki akaambiwa jambo hilo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Kesho yake watu wa Shekemu wakatoka wakaenda mashambani, Abimeleki akaambiwa juu ya jambo hili. Tazama sura |