Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 9:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

39 Basi Gaali akatokeza mbele ya watu wa Shekemu, akapigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Gaali akatoka akiwaongoza watu wa Shekemu na kupigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Basi Gaali akawaongoza wenyeji wa Shekemu kupigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Basi Gaali akatoka akawaongoza watu wa Shekemu kupigana na Abimeleki.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 9:39
2 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Zebuli akamwambia, Je! Kinywa chako sasa kiko wapi, hata ukasema, Huyo Abimeleki ni nani, hata inatupasa kumtumikia yeye? Je! Hawa sio majeshi hao uliowadharau wewe? Haya, toka nje sasa, tafadhali, upigane nao.


Lakini Abimeleki akamkimbiza, naye akakimbia mbele yake, wengi walijeruhiwa na kuanguka hadi kufikia maingilio ya lango la mji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo