Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 9:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 Basi Gaali alipowaona hao watu, akamwambia Zebuli, Tazama, watu washuka kutoka katika vilele vya milima. Zebuli akamwambia, Ni kivuli cha milima unachokiona kama ndio watu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Gaali alipomwona akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya mlima.” Zebuli akamwambia, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Gaali alipowaona, akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka vilele vya milima!” Zebuli akajibu, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Gaali alipowaona, akamwambia Zebuli, “Tazama, watu wanashuka kutoka kwenye vilele vya milima!” Zebuli akajibu, “Wewe unaona vivuli vya milima kana kwamba ni watu.”

Tazama sura Nakili

Waamuzi 9:36
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; siku ya fujo, wala si ya shangwe milimani.

Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda.

Huyo Gaali mwana wa Ebedi akatoka nje, akasimama penye maingilio ya lango la mji; naye Abimeleki na hao watu waliokuwa pamoja naye wakainuka kutoka mahali pale walipokuwa wanavizia.

Kisha Gaali akasema mara ya pili, akanena, Angalia, watu washuka katikati ya nchi, na kikosi kimoja kinakuja kwa njia ya mwaloni wa Meonenimu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo