Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 9:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Naye akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, akasema, Tazama, Gaali, mwana wa Ebedi, na ndugu zake wamekuja Shekemu; na wanaufitinisha mji huu kinyume chako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Basi akampelekea ujumbe Abimeleki huko Torma akasema, “Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake wameingia mjini Shekemu na kuchochea uasi dhidi yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Akatuma wajumbe waende kwa Abimeleki kwa siri, na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Akatuma ujumbe uende kwa Abimeleki kwa siri na kusema, “Gaali mwana wa Ebedi na ndugu zake wamekuja Shekemu, na wanauchochea mji huu kinyume chako.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 9:31
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Gaali, mwana wa Ebedi, akaenda pamoja na nduguze, wakavuka na kufika Shekemu; na watu wa Shekemu wakawa na imani naye.

Basi hapo Zebuli, aliyekuwa mkuu wa mji, alipoyasikia hayo maneno ya Gaali mwana wa Ebedi, hasira zake zikamwaka.

Basi sasa, inuka wewe, usiku, wewe na watu walio pamoja nawe, mvizie mashambani;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo