Waamuzi 9:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Kisha Gaali, mwana wa Ebedi, akaenda pamoja na nduguze, wakavuka na kufika Shekemu; na watu wa Shekemu wakawa na imani naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Siku moja Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake alikwenda kukaa Shekemu. Watu wa Shekemu wakawa na imani naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Siku moja Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake alikwenda kukaa Shekemu. Watu wa Shekemu wakawa na imani naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Siku moja Gaali, mwana wa Ebedi, pamoja na ndugu zake alikwenda kukaa Shekemu. Watu wa Shekemu wakawa na imani naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Basi Gaali mwana wa Ebedi akaenda pamoja na ndugu zake wakaingia Shekemu, nao wenyeji wa huko wakawa na imani naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Basi Gaali mwana wa Ebedi akaenda pamoja na ndugu zake wakaingia Shekemu, nao watu wa huko wakamtumainia yeye. Tazama sura |