Waamuzi 9:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi watu wa Shekemu wakaweka watu kumvizia juu ya vilele vya milima, ambao waliwapora watu wote waliopita njia hiyo karibu nao; naye Abimeleki aliarifiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Watu wa Shekemu waliweka washambulizi wamwotee Abimeleki kutoka vilele vya mlima. Watu hao waliwanyanganya mali zao wote waliopita huko. Abimeleki akaambiwa mambo hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Watu wa Shekemu waliweka washambulizi wamwotee Abimeleki kutoka vilele vya mlima. Watu hao waliwanyanganya mali zao wote waliopita huko. Abimeleki akaambiwa mambo hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Watu wa Shekemu waliweka washambulizi wamwotee Abimeleki kutoka vilele vya mlima. Watu hao waliwanyang'anya mali zao wote waliopita huko. Abimeleki akaambiwa mambo hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hivyo, kutokana na uadui juu yake, wenyeji wa Shekemu wakaweka watu wa kumvizia katika vilele vya milima. Wakawanyang’anya watu wote waliopita karibu nao, nayo haya yakaarifiwa kwa Abimeleki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hivyo, kutokana na uadui juu yake watu wa Shekemu wakaweka watu wa kumvizia katika vilele vya milima. Wakawanyang’anya watu wote waliopita karibu nao, nayo haya yakaarifiwa kwa Abimeleki. Tazama sura |