Waamuzi 8:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 wala hawakuifanyia mema nyumba ya Yerubaali, yaani Gideoni, licha ya hayo mema yote aliyowafanyia Waisraeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Tena, hawakuitendea wema jamaa ya Yerubaali yaani Gideoni kwa mema yote aliyoyatenda katika Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Pia wakashindwa kuitendea mema jamaa ya Yerub-Baali (yaani Gideoni) kwa ajili ya mambo yote mema aliyokuwa amefanyia Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Pia wakashindwa kuitendea mema jamaa ya Yerub-Baali (yaani Gideoni) kwa ajili ya mambo yote mema aliyokuwa amefanya kwa ajili yao. Tazama sura |