Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 8:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Na suria yake aliyekuwako Shekemu, yeye naye akamzalia mwana, naye akamwita jina lake Abimeleki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Alikuwa na suria huko Shekemu ambaye alimzalia mtoto wa kiume, jina lake Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, akamwita jina Abimeleki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 8:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hajiri akamzalia Abramu mwana wa kiume; Abramu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe, ambaye Hajiri alimzaa.


Abrahamu akanena juu ya Sara mkewe, “Huyu ni dada yangu”. Basi Abimeleki mfalme wa Gerari akatuma watu wakamtwaa Sara.


Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.


Gideoni alikuwa na wana sabini waliozawa na mwili wake; kwa maana alikuwa na wake wengi.


Basi Gideoni mwana wa Yoashi akafa mwenye umri wa uzee mwema, akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake, katika Ofra ya Waabiezeri.


nanyi mmeinuka juu ya nyumba ya baba yangu hivi leo nanyi mmewaua wanawe, watu sabini, juu ya jiwe moja, nanyi mmemtawaza Abimeleki, mwana wa kijakazi chake, awe mfalme juu ya watu wa Shekemu kwa sababu yeye ni ndugu yenu;)


Tufuate:

Matangazo


Matangazo