Waamuzi 8:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Gideoni alikuwa na wana sabini waliozawa na mwili wake; kwa maana alikuwa na wake wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Gideoni alikuwa na watoto wa kiume sabini, maana alioa wanawake wengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. Tazama sura |