Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 8:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Kisha akaubomoa mnara wa Penieli, na kuwaua watu wa mji huo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Vilevile akaubomoa mnara wa Penueli na kuwaua wakazi wa mji huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua wanaume wa huo mji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 8:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yeroboamu akajenga Shekemu katika milima ya Efraimu, akakaa huko. Akatoka huko akajenga Penueli.


Basi akawatwaa hao wazee wa mji, na miiba ya nyikani na michongoma, akawafunza hao watu wa Sukothi kwayo.


Ndipo akawaambia hao Zeba na Salmuna, Hao watu mliowaua huko Tabori walikuwa watu wa namna gani? Wakamjibu, Walikuwa kama wewe ulivyo; kila mmoja alikuwa anafanana na wana wa mfalme.


Naye akawaambia hao watu wa Penieli nao, akisema, Nitakapokuja tena kwa amani, nitaubomoa mnara huu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo