Waamuzi 8:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kisha huyo Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani, kutoka kwenye makweleo ya Heresi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha, Gideoni, mwana wa Yoashi, akarudi kutoka vitani akipitia kwenye mteremko wa Heresi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani kupitia Mwinuko wa Heresi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Gideoni mwana wa Yoashi akarudi kutoka vitani kwa kupitia Mwinuko wa Heresi. Tazama sura |