Waamuzi 7:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kisha akawapanga wale watu mia tatu wawe vikosi vitatu, akatia tarumbeta katika mikono ya watu wote, na mitungi isiyo na maji, na mienge ndani ya hiyo mitungi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawapa tarumbeta na magudulia yenye mienge. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Akawagawa wale watu mia tatu katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote, na mitungi mitupu, na mienge ikawekwa ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote na mitungi isiyokuwa na maji yenye mienge ndani yake. Tazama sura |