Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 6:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 nami niliwaokoa na mikono ya Wamisri, na mikono ya wote waliokuwa wakiwaonea, nami niliwafukuza watoke mbele zenu, nami niliwapa ninyi nchi yao;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 nikawakomboa mikononi mwa Wamisri wote waliowakandamiza. Nikawafukuza watu mbele yenu na kuwapa nyinyi nchi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Nikawaokoa kutoka mikononi mwa Wamisri na kutoka mikononi mwa watesi wenu wote. Nikawafukuza watoke mbele yenu, nami nikawapa ninyi nchi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Nikawanyakua kutoka mikononi mwa Wamisri na kutoka mikononi mwa watesi wenu wote. Nikawafukuza watoke mbele yenu nami nikawapa ninyi nchi yao.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 6:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akawatoa watu wake kwa shangwe, Na wateule wake kwa nyimbo za furaha.


Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi;


kisha niliwaambia, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu; msiiche miungu ya Waamori, ambayo mnakaa katika nchi yao; lakini hamkuitii sauti yangu.


BWANA akamtuma nabii aende kwa hao wana wa Israeli; naye akawaambia, BWANA, yeye Mungu wa Israeli, asema hivi, Mimi niliwaleta ninyi mkwee kutoka Misri, nikawatoa katika nyumba ya utumwa;


akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Niliwatoa Waisraeli kutoka Misri, nami niliwaokoa ninyi kutoka kwa mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo