Waamuzi 6:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 BWANA akamtuma nabii aende kwa hao wana wa Israeli; naye akawaambia, BWANA, yeye Mungu wa Israeli, asema hivi, Mimi niliwaleta ninyi mkwee kutoka Misri, nikawatoa katika nyumba ya utumwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwenyezi-Mungu aliwapelekea nabii, naye akawaambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Niliwatoa nchini Misri ambako mlikuwa watumwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwenyezi-Mungu aliwapelekea nabii, naye akawaambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Niliwatoa nchini Misri ambako mlikuwa watumwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwenyezi-Mungu aliwapelekea nabii, naye akawaambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Niliwatoa nchini Misri ambako mlikuwa watumwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mwenyezi Mungu akawapelekea nabii, ambaye aliwaambia, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, asemalo: Niliwapandisha mtoke Misri, toka nchi ya utumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 bwana akawapelekea nabii, ambaye aliwaambia, “Hili ndilo bwana, Mungu wa Israeli, asemalo: Niliwapandisha mtoke Misri, toka nchi ya utumwa. Tazama sura |