Waamuzi 6:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kisha ikawa, hapo wana wa Israeli walipomlilia BWANA kwa sababu ya Midiani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Waisraeli walipomlilia Mwenyezi-Mungu awaondolee taabu walizopata kwa Wamidiani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Waisraeli walipomlilia Mwenyezi Mungu kwa sababu ya Wamidiani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Waisraeli walipomlilia bwana kwa sababu ya Wamidiani, Tazama sura |