Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 6:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa BWANA; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona BWANA uso kwa uso.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Ndipo Gideoni akatambua kwamba huyo alikuwa malaika wa Mwenyezi-Mungu; akasema, “Ole wangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu, maana nimemwona malaika wako uso kwa uso.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa Mwenyezi Mungu, akapaza sauti, akasema, “Ole wangu, Bwana Mungu Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa Mwenyezi Mungu uso kwa uso!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Gideoni alipotambua kuwa ni malaika wa bwana, akapiga kelele kwa mshangao, akasema, “Ole wangu, bwana Mwenyezi! Kwa kuwa nimemwona malaika wa bwana uso kwa uso!”

Tazama sura Nakili




Waamuzi 6:22
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akampa jina BWANA aliyesema naye, “Wewe U Mungu uonaye,” kwani alisema, “Kweli nimemwona Mungu na nikaendelea kuishi baada ya kumuona?”


Yakobo akapaita mahali pale, Penieli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.


Jua likamzukia akivuka Penueli, akachechemea kwa sababu ya paja la mguu wake.


Kisha akasema, Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi.


Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.


Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.


mkasema, Tazama, BWANA, Mungu wetu, ametuonesha utukufu wake, na ukuu wake, nasi tunasikia sauti yake toka kati ya moto; mmeona leo ya kuwa Mungu husema na mwanadamu, naye akaishi.


Maana katika watu wote ni nani aliyeisikia sauti ya Mungu aliye hai, akisema toka kati ya moto, kama vile sisi, asife?


(nami wakati ule nikiwa nimesimama kati ya BWANA na ninyi, ili kuwaonesha neno la BWANA; maana, mliogopa kwa sababu ya ule moto, wala hamkupanda mlimani); naye akasema,


BWANA akamwambia “Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa”.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo