Waamuzi 6:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Tafadhali, usiondoke hapa hadi nikujie, nikatoe zawadi yangu, na kuiweka mbele zako. Akasema, Nitangoja hadi utakaporudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea zawadi yangu na kuiweka mbele yako.” Naye akamjibu, “Nitakaa hapa mpaka utakaporudi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Tafadhali nakuomba usiondoke hapa hadi nitakaporudi, nilete sadaka yangu na kuiweka mbele yako.” Naye Mwenyezi Mungu akamwambia, “Nitangoja hadi utakaporudi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Tafadhali ninakuomba usiondoke hapa mpaka nitakaporudi na kukuletea sadaka yangu na kuiweka mbele yako.” Naye bwana akamwambia, “Nitangoja mpaka utakaporudi.” Tazama sura |