Waamuzi 6:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yuko pamoja nawe, Ee shujaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe, ewe shujaa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Malaika wa Mwenyezi Mungu alipomtokea Gideoni, akamwambia, “Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe, ewe shujaa mwenye nguvu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Malaika wa bwana alipomtokea Gideoni, akamwambia, “bwana yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.” Tazama sura |