Waamuzi 5:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Milima ikayeyuka mbele za uso wa BWANA, Naam hata Sinai ule mbele za uso wa BWANA, Mungu wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Milima ilitetemeka mbele za Mwenyezi Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Milima ilitetemeka mbele za bwana, hata ule wa Sinai, mbele za bwana, Mungu wa Israeli. Tazama sura |