Waamuzi 5:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 BWANA, ulipotoka katika Seiri, Ulipokwenda vitani kutoka mashamba ya Edomu, Nchi ilitetema, mbingu nazo zikadondosha maji, Naam, mawingu yakadondosha maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Ee Mwenyezi-Mungu, ulipotoka huko Seiri, ulipoteremka mlimani Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu zilidondosha maji, naam, mawingu yakaiangusha mvua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Ee Mwenyezi-Mungu, ulipotoka huko Seiri, ulipoteremka mlimani Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu zilidondosha maji, naam, mawingu yakaiangusha mvua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Ee Mwenyezi-Mungu, ulipotoka huko Seiri, ulipoteremka mlimani Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu zilidondosha maji, naam, mawingu yakaiangusha mvua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Ee Mwenyezi Mungu, ulipotoka katika Seiri, ulipopita katika mashamba ya Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu nazo zikamwaga, naam, mawingu yakamwaga maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Ee bwana, ulipotoka katika Seiri, ulipopita katika mashamba ya Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu nazo zikamwaga, naam, mawingu yakamwaga maji. Tazama sura |