Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 5:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Mabibi wake wenye akili wakamjibu, Naam, alijipa jawabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: Akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: Akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Jibu akalipata kwa wanawake wenye hekima: akajituliza tena na tena kwa jibu hilo:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Wajakazi wale wenye busara kuliko wengine wote wanamjibu; naam, naye anasema moyoni mwake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Wanawake wenye busara kuliko wengine wote wakamjibu; naam, husema moyoni mwake,

Tazama sura Nakili




Waamuzi 5:29
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hata na leo hivi mabibi wastahiki wa Uajemi na Umedi waliozisikia habari za tendo lake malkia watawaambia vivi hivi maofisa wote wa mfalme. Hivyo kutatokea dharau nyingi na ghadhabu tele.


Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?


Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya, Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu? Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbalimbali, Nyara za mavazi ya rangi mbalimbali ya darizi; Ya rangi mbalimbali ya darizi, pande zote mbili, Juu ya shingo za hao mateka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo