Waamuzi 5:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Mama yake Sisera alitazama dirishani alichungulia katika viunzi vyake, akalalamika: ‘Kwa nini gari lake limechelewa? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa kusikika?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 “Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; nyuma ya dirisha alilia, akasema, ‘Mbona gari lake la vita linachelewa kufika? Mbona vishindo vya magari yake ya vita vimechelewa?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 “Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; nyuma ya dirisha alilia, akasema, ‘Mbona gari lake linachelewa kufika? Mbona vishindo vya magari yake vimechelewa?’ Tazama sura |