Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 5:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Miguuni pake aliinama, akaanguka, akalala. Miguuni pake aliinama, akaanguka. Hapo alipoinama, ndipo alipoanguka amekufa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Sisera aliinama, akaanguka; alilala kimya miguuni pake. Hapo alipoinama ndipo alipoanguka, amekufa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Aliinama miguuni pa Yaeli, akaanguka; akalala hapo. Pale alipoinama miguuni pake, alianguka; pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, akiwa amekufa.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 5:27
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kumbe! Huyu ndiye mtu yule, Asiyemfanya Mungu kuwa kimbilio lake. Aliutumainia wingi wa mali zake, Na kufanya mali kimbilio lake.


Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Akanyosha mkono wake akashika kigingi, Nao mkono wake wa kulia ukashika nyundo ya fundi; Akampiga Sisera kwa hiyo nyundo, akamtoboa kichwa chake. Naam, alimpiga akamtoboa kipaji chake.


Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo