Waamuzi 5:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Akanyosha mkono wake akashika kigingi, Nao mkono wake wa kulia ukashika nyundo ya fundi; Akampiga Sisera kwa hiyo nyundo, akamtoboa kichwa chake. Naam, alimpiga akamtoboa kipaji chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kwa mkono mmoja alishika kigingi cha hema, na kwa mkono wake wa kulia nyundo ya fundi; alimponda Sisera kichwa, alivunja na kupasuapasua paji lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kwa mkono mmoja alishika kigingi cha hema, na kwa mkono wake wa kulia nyundo ya fundi; alimponda Sisera kichwa, alivunja na kupasuapasua paji lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kwa mkono mmoja alishika kigingi cha hema, na kwa mkono wake wa kulia nyundo ya fundi; alimponda Sisera kichwa, alivunja na kupasuapasua paji lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Akanyoosha mkono wake akashika kigingi cha hema, mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya fundi. Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa chake, akamvunjavunja na kumtoboa paji lake la uso. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Akanyoosha mkono wake akashika kigingi cha hema, mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya fundi. Akampiga Sisera kwa nyundo, akamponda kichwa chake, akamvunjavunja na kumtoboa paji lake la uso. Tazama sura |