Waamuzi 5:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Aliomba maji, naye akampa maziwa. Akamletea siagi katika sahani ya heshima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Sisera alimwomba maji, naye akampa maziwa; alimletea siagi katika bakuli ya heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Sisera alimwomba maji, naye akampa maziwa; alimletea siagi katika bakuli ya heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Sisera alimwomba maji, naye akampa maziwa; alimletea siagi katika bakuli ya heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Sisera alimwomba maji, naye akampa maziwa; kwenye bakuli la heshima akamletea maziwa mgando. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Aliomba maji, naye akampa maziwa; kwenye bakuli la heshima akamletea maziwa mgando. Tazama sura |