Waamuzi 5:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Atabarikiwa Yaeli kuliko wanawake wote; Mkewe Heberi, Mkeni, Atabarikiwa kuliko wanawake wote hemani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Abarikiwe kuliko wanawake wote Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Naam, amebarikiwa kuliko wanawake wote wanaokaa mahemani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote wanaoishi kwenye mahema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, mkewe Heberi, Mkeni, abarikiwe kuliko wanawake wote waishio kwenye mahema. Tazama sura |