Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 5:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Gileadi alikaa ng'ambo ya Yordani, Na Dani, mbona alikaa katika merikebu? Asheri alikaa kimya penye bandari ya bahari, Alikaa katika hori zake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kabila la Gileadi lilibaki ng'ambo ya Yordani. Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni? Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari, lilikaa bandarini mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani. Naye Dani, kwa nini alikaa kwenye merikebu siku nyingi? Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, akikaa kwenye ghuba zake ndogo.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 5:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Bilha, kijakazi wa Raheli, ni Dani na Naftali.

Nanyi mtatoka kwenye mahali palipobomolewa, kila mwanamke moja kwa moja mbele yake; nanyi mtajitupa katika Harmoni, asema BWANA.

Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;

na nusu ya Gileadi, na Ashtarothi, na Edrei, hiyo miji ya ufalme wa Ogu katika Bashani, ilikuwa ni ya wana wa Makiri mwana wa Manase maana, kwa hiyo nusu ya wana wa Makiri sawasawa na jamaa zao.

Basi wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase wakarudi, wakatoka kwa wana wa Israeli katika Shilo, ulioko nchi ya Kanaani, ili waende nchi ya Gileadi, hiyo nchi ya milki yao, waliyokuwa wanaimiliki, sawasawa na amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo