Waamuzi 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora. Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka. Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake. Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora, watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki; wakamfuata mbio mpaka bondeni. Lakini miongoni mwa koo za Reubeni kulikuwamo kusitasita kwingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, wakija nyuma yake kwa mbio wakielekea bondeni. Katika jamaa za Reubeni, palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. Tazama sura |