Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Itangazeni habari, ninyi mpandao punda weupe, Ninyi mketio juu ya mazulia ya thamani, Na ninyi mnaopita njiani kwa miguu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Tangazeni, enyi wapandapunda weupe, enyi mnaokalia mazulia ya fahari, nyinyi mnaotembea njiani, tangazeni jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Tangazeni, enyi wapandapunda weupe, enyi mnaokalia mazulia ya fahari, nyinyi mnaotembea njiani, tangazeni jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Tangazeni, enyi wapandapunda weupe, enyi mnaokalia mazulia ya fahari, nyinyi mnaotembea njiani, tangazeni jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Ninyi mpandao punda weupe, mkiketi juu ya matandiko ya thamani, nanyi mnaotembea barabarani, fikirini

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Nanyi mpandao punda weupe, mkiketi juu ya matandiko ya thamani, nanyi mtembeao barabarani, fikirini

Tazama sura Nakili




Waamuzi 5:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote.


Na wamtukuze katika kusanyiko la watu, Na wamhimidi katika baraza la wazee.


Wataunena utukufu wa ufalme wako, Na kusena uweza wako.


Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.


Naye atakuwa roho ya hukumu ya haki kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao walindao langoni.


Mataifa na wajihimize, wakapande juu katika bonde la Yehoshafati; maana huko ndiko nitakakoketi niwahukumu mataifa yote yaliyo pande zote.


Huyo alikuwa na watoto wa kiume thelathini waliokuwa wakipanda wanapunda thelathini, nao walikuwa na miji thelathini, ambayo inaitwa Hawoth-yairi hata hivi leo, nayo iko katika nchi ya Gileadi.


Naye alikuwa na wana arubaini, na wajukuu thelathini, waliokuwa wakipanda wanapunda sabini; akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka minane.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo