Waamuzi 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Sisera akayakusanya magari yake yote, naam, magari ya chuma mia tisa, na watu wote waliokuwa pamoja naye, toka Haroshethi wa Mataifa mpaka mto wa Kishoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 alikusanya jeshi lake lote na magari yake mia tisa ya chuma, akaondoka Harosheth-hagoimu, akaenda kwenye mto Kishoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sisera akakusanya magari yake ya vita ya chuma mia tisa, na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu hadi Mto wa Kishoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni. Tazama sura |