Waamuzi 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Ndipo Ehudi akatoka nje barazani, akamfungia milango ya hicho chumba na kuifunga kwa ufunguo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kisha, Ehudi akatoka nje barazani baada ya kuifunga milango ya chumba hicho kwa ufunguo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Ehudi akatoka nje barazani; akamfungia milango ya chumba cha juu, na kuifunga kwa funguo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Ehudi akatoka nje barazani; akamfungia milango ya chumba cha juu na kuifunga kwa funguo. Tazama sura |