Waamuzi 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa wao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 (alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita): Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 (alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita): Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 (alifanya hivyo ili awape watu wa vizazi hivyo ujuzi wa kupigana kwani hawakuwa wameona vita): Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 (alifanya hivi ili tu kuwafundisha vita wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa na uzoefu wa vita hapo awali): Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 (alifanya hivi ili tu kuwafundisha wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa wamejua vita hapo awali): Tazama sura |