Waamuzi 3:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Naye hapo alipomaliza kuitoa hiyo tunu, akawapa ruhusa watu hao walioichukua tunu, wakaenda zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ehudi alipomaliza kutoa zawadi, akawaambia watu waliobeba zawadi, waondoke. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Baada ya Ehudi kumkabidhi ule ushuru, akawatuma wale watu waliokuwa wameubeba huo ushuru waende zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Baada ya Ehudi kumkabidhi ule ushuru, wale watu waliokuwa wameubeba huo ushuru aliwaruhusu waende zao. Tazama sura |