Waamuzi 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kwa maana hapo watu walipohesabiwa, hakuwapo hata mtu mmoja katika wenyeji wa Yabesh-gileadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Waisraeli walipohesabiwa huko Mizpa hakuna mkazi yeyote wa Yabesh-gileadi aliyehudhuria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa kuwa walipohesabu waliona hapakuwa mtu yeyote wa Yabesh-Gileadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Walipohesabu waliona hakuna mtu yeyote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwepo. Tazama sura |