Waamuzi 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Basi wakawaagiza hao wana wa Benyamini wakisema, Haya, endeni, mkaotee katika mashamba ya mizabibu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kwa hiyo wakawaamuru wale wanaume wa kabila la Benyamini, “Nendeni mkavizie na kuotea katika mashamba ya mizabibu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Hivyo wakawaelekeza Wabenyamini, wakisema, “Nendeni mkajifiche kwenye mashamba ya mizabibu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Hivyo wakawaelekeza Wabenyamini wakisema, “Nendeni mkajifiche kwenye mashamba ya mizabibu, Tazama sura |