Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waamuzi 21:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wakasema, Lazima uwepo urithi kwa hao wa Benyamini waliopona, lisije likafutika kabila Israeli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lazima wanaume waliosalia wa kabila la Benyamini wapewe wanawake ili waendeleze kabila, na hivyo kusipotee kabila lolote katika Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakaendelea kusema, “Lazima tuwape Wabenyamini waliopona wake ili wawe na warithi, nalo kabila lolote katika Israeli lisifutike.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wale waliopona wa Wabenyamini ni lazima tuwape wake, ili wawe na warithi, ili kabila lolote katika Israeli lisifutike.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 21:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini nchi itagawanywa kwa kura; kwa majina ya makabila ya baba zao, ndivyo watakavyopata urithi.

Hivyo hapana urithi wowote wa wana wa Israeli utakaotoka kabila hili kwenda kabila hili; kwa kuwa wana wa Israeli watashikamana kila mtu na urithi wa kabila la baba zake.

Ndipo hao wazee wa huo mkutano wakasema, Je! Tufanyeje ili tuwapatie wake hao waliosalia, kwa kuwa wanawake wameangamizwa katika Benyamini?

Lakini sisi hatuwezi kuwaoza binti zetu kwa maana wana wa Israeli walikuwa wameapa, wakisema, Na alaaniwe huyo atakayempa Benyamini mke.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo