Waamuzi 21:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi mkutano ukatuma watu na kunena na wana wa Benyamini waliokuwako huko katika jabali la Rimoni, wakawatangazia amani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha jumuiya nzima ikawapelekea ujumbe wa amani watu wa kabila la Benyamini ambao walikuwa kwenye mwamba wa Rimoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni. Tazama sura |