Waamuzi 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mwanamume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mwanamume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mtawaua wanaume wote na wanawake wote wasio mabikira.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wakasema, “Hili ndilo mtakalofanya: Ueni kila mwanaume na kila mwanamke ambaye si bikira.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.” Tazama sura |