Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waamuzi 20:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Basi watu hao wote waliinuka sawia, wakisema, Hatutakwenda, hata mmoja, hemani kwake, wala hatutaondoka, hata mmoja, kwenda nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Watu wote kwa pamoja, wakasimama na kusema, “Hakuna yeyote kati yetu atakayerudi hemani kwake au nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Watu wote kwa pamoja, wakasimama na kusema, “Hakuna yeyote kati yetu atakayerudi hemani kwake au nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Watu wote kwa pamoja, wakasimama na kusema, “Hakuna yeyote kati yetu atakayerudi hemani kwake au nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Watu wote wakainuka wakasema, kama mtu mmoja, “Hakuna hata mmoja wetu atakayeenda nyumbani. Hakuna hata mmoja wetu atakayerudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Watu wote wakainuka wakasema, kama mtu mmoja, “Hakuna hata mmoja wetu atakayekwenda nyumbani. Wala hakuna hata mmoja wetu atakayerudi nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 20:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.


Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.


Ndipo wana wa Israeli walipotoka; na mkutano ukakutanika kama mtu mmoja, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na nchi ya Gileadi wakamkutanikia BWANA huko Mispa.


Basi wanaume wote wa Israeli walikutana pamoja juu ya mji huo, walikuwa wanashikamana pamoja kama mtu mmoja.


Angalieni, ninyi wana wa Israeli nyote, sasa toeni maneno na mashauri yenu.


Lakini jambo tutakalowatenda watu wa Gibea ni hili; tutakwea kuushambulia kwa kupiga kura;


Basi watu wa Israeli walikuwa wameapa huko katika Mispa, wakisema, Hapana mtu yeyote kwetu sisi atakayemwoza binti yake kumpa Benyamini.


Wana wa Israeli wakasema, Katika hizi kabila zote za Israeli ni ipi isiyofika katika mkutano kumkaribia BWANA? Kwa maana walikuwa wameweka kiapo kikuu kuhusu huyo asiyefika kumkaribia BWANA huko Mispa, huku wakisema, Hakika yake atauawa huyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo